Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Si wanajiendekeza tuJamani nina swaliii
Mkishiba chai mje tujadili..
Qn: wanaume unakuta ana wanawake wa3, anawamiliki wote β¦ katika kuwamiliki hao anakuwa anachagua yupi atatangazwa msikitiki ama Kanisani.
Ila mwanamke akifanya jambo kama hilo alilofanya Mwanaume ye jamii inamuona sio mtulivu ati ni ka malaya ππ
Kwahiyo mwanamke ye hana chaguzi zake?
Kwahiyo mwanamke hatakiwi kuwa na wanaume wake wawili awachunguuuze ndio ampate Mr. right wake?
Mjee Mseme both Me & Ke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu, mna nn lakini, uwiiiiiiTobaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha weh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unadhani atakutafuta basi!?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa anajishtukia
Atamtafuta Putin tu[emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ajabu Putin mwenyewe asimtafute Cuzo ake Coca.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
KaCoca ndio kwanza kapo comments za usiku.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaahUMETUMWA SI BULE,KATIKA JINA LA YESU TOKA TOKA TOKA WE MWANA KWENDA USINILETEE NUKSI HUMU JF
Unataka uingie mzigoni jichanganye[emoji1][emoji1][emoji1] alafu mimi sijasema ukae umusubiri ishu ni kuchagamukia fursa[emoji23]Nature iko hvyoand we can't change
Then kwenye machaguoa hakuna mkamilifu my dear,angalia Kati ya zile [emoji817] amekidhi ngapi?we unahitaji Nini ?maana ukitaka mwenye vyote hayupo
Na kukaa kumsubiri kwa Sasa ni wachache wanapatikana kwa staili hyo,waweza ukawa upo jf kumbe ndo wako Mungu amekupangia umpate humu hvyoo,so popote mpenzi wa kweli anapatikana muhimu bi masharti na vigezo ,ukiona hakidhi we mteme tuuu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nishafika mie hapaaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KaCoca ndio kwanza kapo comments za usiku.
Tuendelee kusubiria..katafika tu huku.
Bruh mambo ni poa naona uko na rafiki yako wa kweli π
Kasuku pambo
Mwe afadhaliNishafika mie hapaaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu mko na yesu [emoji1]
Umeniita jina baya ndyo maana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]toa dislike ile
Jana umekimbia[emoji2089][emoji2089][emoji2089] mwamba alikuja niniMwe afadhali
Leo Bwana ametenda muujiza,kameshuka chini.
Haya,nasubiri utaje hizo IDs shossteee
Taja taja tuponeee
Yesu ni jibu la kila jambo, Yesu ni uhai na uzima ππ Yesu ni kila kituWatu mko na yesu [emoji1]
Na amini [emoji120][emoji120]Yesu ni jibu la kila jambo, Yesu ni uhai na uzima [emoji4][emoji4] Yesu ni kila kitu
Ni wazuri sana ndani, wana vibe lake flani.. Nina enjoy sana.. Sasa hivi wamenizoe kiasi kwamba asubuhi mawakuta mlangoni wa chumbani wana nisubiri π€ π€Kasuku pambo
Yap ni kweliNimetulia hapa tunakula neno mdogo mdogo.. Anabadilisha mapozi tu.. Maisha ndio haya haya.. Viumbe wanatupa furaha safi isiyo na stressView attachment 2358546
Good tafuta na njiwaNi wazuri sana ndani, wana vibe lake flani.. Nina enjoy sana.. Sasa hivi wamenizoe kiasi kwamba asubuhi mawakuta mlangoni wa chumbani wana nisubiri [emoji1783][emoji1783]
hahahaUmeniita jina baya ndyo maana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]