View attachment 2357835
Siku moja moja sio mbaya unakutana na Wazee wenzako mnakula stori kama hivi kukumbukia Enzi.
Anza kujizoesha hili mapema ili ukifika umri wa Uzee kama wangu usipate shida ya upweke wakati huo Bibi anakuwa amekwenda kusalimia Wajukuu zake DSM π
Kwahiyo babu nawe unaendaga kufichwa Tabata? Tena si ajabu ni pale Tabata Bima wenyewe wanapaita Tabata Baima π₯Ή pakakubamizia hadi bajeti ya wajukuu