Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukiachwa achika

Umefukuzwa ondoka

Hakuna kukaa unafatilizia watu makalioni as if waliondoka na figo zako
🤣🤣
Screenshot_20220915_104701_com.google.android.youtube_edit_66151764235217.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimechekaaa

Ila haya maneno yako yatatonesha kidonda cha Carrasco putin nae ameachwa leo asubuhi
Una hizo tabia nini? Kufatilia X anafanya nini currently? Kama unazo uache ni ushamba didi 😂😂

Ushamba mbaya kama huo nikijua unafanya nitakutandika 🤣🤣🤣


Carrasco putin hongera kwa kuachwa 😂😂😄 na pole kwa maumivu yatokanayo na muacho.
Mfute eee? Ukiacha uendelee kumuona utapata kiherehere cha kuendelea kumfatilia. Na ukifanya hivyo utachakaa kisaikolojia 😆
 
Back
Top Bottom