za asubuhi ?Salam kwenu wote
Salama jirani, hujambo wewe..za asubuhi ?
Kila la kheri mzeeKaribu kwenye mazoezi ya asubuhi, Babu yako napasha mwili kidogo 🤗
Mimi niko poa pia mdogo wangu,nipo poa vipi wewe
maisha yanasemaje ?
nipo poa vipi weweSalama jirani, hujambo wewe..
Mie poa kabisa jiraninipo poa vipi wewe
namshukuru Mungu
Hujambo jirani, Pole sana..
kweli boss , tukapambane tuMimi niko poa pia mdogo wangu,
Maisha yamepamba moto tayari nimeshaamka kwenda kuteseka kama anavyo tueleza kila siku shem Carrasco putin
Kwani huko kwenu ni saa ngapi saivi, manake huku nilipo Babu yako ni saa 11:33 alfajiri
SijapoaHujambo jirani, Pole sana..
Ni saa 06:34Kwani huko kwenu ni saa ngapi saivi, manake huku nilipo Babu yako ni saa 11:33 alfajiri
Basi jitahidi uamke, huu ni muda wa kwenda kumtafutia Babu yako hela ya Chumvi , unakumbuka na yeye alivyokuwa akikulea ulipokuwa mdogo 🙈🤸Ni saa 06:34
😔😔😔😔😔😔... Tuongezee nguvu mgahawa wetu uwe wa kisasaNgoja niendelee kukomaa na bajaj...hizi ndoto nyingine bure kabisa!!😏