We ASA nuksi,jamani mi staki jamani vinatia stressASA best zangu wamenijaza kopa usijali maneno mengiii [emoji51][emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Jamani kaaahhh!Mpendwa acha kabisa yaani ilifikia hadi nafunga biashara siku ya rejesho kuogopa watakuja kunijazia inzi [emoji51][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani pesa zao kama Zina uchawi jamani[emoji26][emoji38][emoji1][emoji6][emoji57],nawaogopa mnoooHapana nilikuwa na bishara nikakopa ili niongezee mzigo kweli niliongeza shida biashara ikawa ni ngumu yaani ile pesa iliniletea balaa [emoji51]
Potrait π€ π€Shot on Google Pixel. π₯
HatutakiAsubuhi njema wadau
Sasa si anabaki kwenye hiyo 10 percent iliyobaki?Unaishije sasa mjini maana wadada karibia 90% wa mujini ni vikoba au ule unaitwa mchezo na Brak sijui black. Na mwingine naskia unaitwa nyonya damu ππ
Mkononi vinyweleo ndio hivo? Huko ndichi jeee ππHabari za jioni wanaselfika wote!View attachment 2354823
Poleni jirani, kwanini hamtaki salam..Hatutaki
Tuna stressPoleni jirani, kwanini hamtaki salam..
Aiseee....Mungu aiondoe πTuna stress
Amin jiraniiAiseee....Mungu aiondoe π
Siasa na usanii juuu!! Janja janja sana AnneSaint Anne naamini ni mwanasiasa
Unazingua kinomaaa!!Msubirie boss leidee..
Akitia tu mguu basi biashara imekwisha.
Hahahaaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu toa loc mapemaaa, nianze kazi, udalali na ukuwadi ndo kazi yangu inaniweka town.
Fanya nisomeshee mchongoo huu fastaaaaaaa!!!
AntonniaUnazingua kinomaaa!!
Forever and always mkuu samaleko!βAntonnia
Ona sasa mnavyopishana kujaSiasa na usanii juuu!! Janja janja sana Anne
Si unaona Pilot ametokomea tenaUnazingua kinomaaa!!
Umetuweza mbona!! ππππOna sasa mnavyopishana kuja
Siyo mimiUmetuweza mbona!! [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]