cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,057
Sasa ndo nasubir hizo hits hapa..Sawa weka maneno,
Sasa ndo nasubir hizo hits hapa..Sawa weka maneno,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntawapita woteee, mie dancer.Jamani njoeni tucheze waya waya challenge ya master KG cocastic myoyambendi Lenie Saint Anne Carlos Tevez [emoji23][emoji23]
Kuna challenge mpya hata habari sina.Jamani njoeni tucheze waya waya challenge ya master KG cocastic myoyambendi Lenie Saint Anne Carlos Tevez 😂😂
😂😂😂 hatari sana hako ka challenge, sio ka kumshinda mtu lakiniKuna challenge mpya hata habari sina.
Na vile kucheza sijui mbona naenda kuwa kituko😂
@mkwepu jr Leo kaandika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Nashindwa tuma pic umu au sababu ya uzee au iki kimeo
🤣🤣Jamani njoeni tucheze waya waya challenge ya master KG cocastic myoyambendi Lenie Saint Anne Carlos Tevez 😂😂
AmenGood morning 🌅 kwa wote mliomkumbuka mwenyenzi Mungu asubuhi hii. The power of prayers nothing but prayers. Na kwa wote ambao wiki hii mmewasaidia masikini na wenye uhitaji, kutoa ni moyo na sio utajiri. Sadaka yako ikabarikiwe na inshallah ikafungue milango yako ya mafanikio wiki inayoanza kesho.
tuma yako kwanzaMliotuma picha wote mrudie nilikuwa sina bundle
Mbona hauniombi KISS?Niko mie hapa Cuzoooo, afu naomba vochaa, cazeeee. [emoji8][emoji8][emoji8]
Sku ukinitumia namba yako ya sm kila sku utakuwa unapata VOCHA.Niko mie hapa Cuzoooo, afu naomba vochaa, cazeeee. [emoji8][emoji8][emoji8]
Ukanidanganya mm kweli [emoji26][emoji26]tuma yako kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sku ukinitumia namba yako ya sm kila sku utakuwa unapata VOCHA.
ulikuwa busy weweUkanidanganya mm kweli [emoji26][emoji26]
Nishasanuka brother'Hata humu JF watakuwa wamo aiseWanaume wa kike wanazidi kuongezeka kila uchao
Vocha nikusamehe [emoji41][emoji41][emoji41]ulikuwa busy wewe
nisamehe eh
nakuona mpare wewe.
na hii piaVocha nikusamehe [emoji41][emoji41][emoji41]