Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Njoo tutafute kazi wotesina kazi sasaa nifanyeje
bora nijishughulishe na mapenzi hahhaah
Njoo tutafute kazi wotesina kazi sasaa nifanyeje
bora nijishughulishe na mapenzi hahhaah
Nakuombea upate kazi nzuri mdogo wangusina kazi sasaa nifanyeje
bora nijishughulishe na mapenzi hahhaah
Hafungagi Pm yule, nenda mwenyewe kasalimie🤣🤣🤣🤣
Msalimie kwanza shem darling, nimemmiss
Nimetengua kauli mkuu








Kwahiyo siku hizi sio food, shelter na clothes? Mmeongezeamo na mapenziNakuombea upate kazi nzuri mdogo wangu
Usiache kupenda maana sehemu ya mahitaji muhimu
Nilihitaji ruhusa yako kwanzaHafungagi Pm yule, nenda mwenyewe kasalimie
Sasa hivi sina hata mmoja wamenikataa woteBoss mwenye wake 4 JF
Mwakani tunaoanaNimetengua kauli mkuu
Nimemshauri akupende kwa dhati![]()
+ tozoKwahiyo siku hizi sio food, shelter na clothes? Mmeongezeamo na mapenzi
Kabisa yaani kama hupendwi au kupenda kuna kitu hakikosawa mahali, muulize didi yakeKwahiyo siku hizi sio food, shelter na clothes? Mmeongezeamo na mapenzi
Nilimwambia ila ubishi wake tuKabisa yaani kama hupendwi au kupenda kuna kitu hakikosawa mahali, muulize didi yake
Mimi na didi tunapenda na kupendwaaa…Kabisa yaani kama hupendwi au kupenda kuna kitu hakikosawa mahali, muulize didi yake
Achana nako haka jana kenyewe kalikua kana lalamika hapa sijui nini nini eti kanavunga kamesahau+ tozo
Mambo yanabadilika
Nilimwambia ila ubishi wake tu
Nililalamika nini jamani 🤣Achana nako haka jana kenyewe kalikua kana lalamika hapa sijui nini nini eti kanavunga kamesahau
Tozo Zimefanyaje?+ tozo
Mambo yanabadilika
Muulize jirani yake myoyambendi akukumbusheNililalamika nini jamani 🤣
Ariririririiririiiiiiii 🤣🤣Mimi na didi tunapenda na kupendwaaa…
Kwahiyo tupige kelele tuko kwenye right track 🤣🤣