myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
AiseeNitakubonda
AiseeNitakubonda
Duh...Nina black beauty nimemuweka mfuko wa shati
Mimi nina chuo cha ualimu nkamuNgoja niende kusomea ualimu
EjoooooSaint Anne toto la kinyaki fanya haraka tupate matokeo ili tusiandikie mate sie!
Kumbe!Mimi nina chuo cha ualimu nkamu
Na udahili unaanza hivi karibuni usipate shida
Wkend imeunguaWeekend inanukia
Nn 😄Duh...
Huku imeshaanza mkuuWeekend inanukia
Kumbe na wewe huwa unakula biscuits?Huku imeshaanza mkuu
Biscuits natumia mdogo wangu
Tokea march 30 hujamaliza tu kunywa hiyo pepsiHuku imeshaanza mkuu
Utaoza meno mr Vocha!Huku imeshaanza mkuu
Ndioo ndio jirani !Hebu tupia location tuone!!Weekend inanukia
Acha yaoze tu hamna namna madamUtaoza meno mr Vocha!
Alafu we dogo nitakupiga..!Tokea march 30 hujamaliza tu kunywa hiyo pepsi
🤣🤣! Shauri yakoAcha yaoze tu hamna namna madam
Ila Pepsi baridii na Biscuti siachi😀
Nipige kama unawezaaAlafu we dogo nitakupiga..!
Ngoja nimuite didi yake aje anishauri kwanzaNipige kama unawezaa
Nipigeee
Nasema nipigeee