Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Kuna mvua inanyesha nn maana mvua ikinyesha ndyo unanitafuta [emoji856][emoji856]
Kuna mvua inanyesha nn maana mvua ikinyesha ndyo unanitafuta [emoji856][emoji856]
Umezama kwenye tope [emoji856][emoji856] National Anthem nisaidie hapaCcy huku mvua inayesha toka sa kumi na mbili......sijafika ofisini nipo ofisini kwa rfk anguView attachment 2348744 viatu vyangu vmechafuka vby nmezama kweny tope.....nmepewa hizo malapa na soksi...Leo nkifika ofisini boss atanitoa nduki
Weee wanaume wanavoipenda hio wanaita mistari ya utamu wenyewe! Nkamu hauna kapicha ka kimini hapo nionepo hio mistari inavyokua nkamu [emoji848]!!
Umemisika nkamu[emoji7]
Ufanye kuselfika vzr tukuona huo mguu hautoshi best
Alafu hujatupa mrejesho ya ulcers
Mwee ngoja niangalie kama sikuitunza ile picha .
Nitakutumia Nkamu,ngoja niende Mbeya[emoji4]
Jamaniiiiii nkamuu 😉😉😉! Hata kwa mguu tu tunashukuru nkamu!!Wanaume sio unajua akili sio nzuri kidooogo[emoji3]
Nkamu utanisamehe siwezi[emoji3]
Mie naikubali sana ile alioitoa kabla ya hii !! Yaani naikubali Mnooo!
Wee ndiokwanza unazidi kunenepa nkamu!Miss you More!!
nitaselfika siku nikimfikia Saint Anne
Mungu ni mwema ni muda sasa sijaumwa nashukuru kwa misaada yenu, thou wengine sikuwafikia kama nilivyopewa
Amen Fanya hivo nkamu yani ni imetuliaaa na iko poa mnoo!!ile wengi wanaipenda nitairudisha[emoji3]
Hii kitu huniambii kitu navyo ielewa.. 😊😊
Acha tu shekheee 😎😎😎Umezama kwenye tope [emoji856][emoji856] National Anthem nisaidie hapa
Bonge moja la ngoma aisee....Hii kitu huniambii kitu navyo ielewa.. 😊😊
Mwanaume wa Dar hapa anakwambia anakula vizuri
Miss you More!!
nitaselfika siku nikimfikia Saint Anne
Mungu ni mwema ni muda sasa sijaumwa nashukuru kwa misaada yenu, thou wengine sikuwafikia kama nilivyopewa