Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Ulikuwa uko tayari kwa mtoko wa Malaika beach 😍
Ulikuwa uko tayari kwa mtoko wa Malaika beach 😍
Mdogo wangu mwenyewe😍😍
Hapo nlikua naenda saloon blama sikoseiUlikuwa uko tayari kwa mtoko wa Malaika beach 😍
Kaka kaka kaka ngoja nikae kimyaMdogo wangu mwenyewe😍😍
Umeziba macho huku kwingine ukasahau
Nime zoom nikazoom nikazoom hadi mwisho😁
🙆🙆🙆🙆🙆Leo ni Leo sema yote sema yote
Pendeza sana sis akee😘😘😘
Asante mama uhair huu wa umamani ....huu u hair ndo unakula mwili wangu aisehLooking biurifoo 😍
Uhair nao si umejaaliwa👌
Hakika we endelea kujenga taifa ila dada yako umemficha wapi? 😳Niko njema kabisa mkuu wangu! Tunaaendela kujenga Nation
Asante sana ccy☺️Pendeza sana sis akee😘😘😘
🙄🙄🙄 Si ulikuwa nae, mie ntajua alipo kivipi hapo sasa 😳😳Hakika we endelea kujenga taifa ila dada yako umemficha wapi? 😳
Taratibu sasa National Anthem usije ukanipeperushia njiwa wangu ila pia usimwambie 🤗🙄🙄🙄 Si ulikuwa nae, mie ntajua alipo kivipi hapo sasa 😳😳
Hujasema aunt lete jina Hilo 😂😂Aunt kumbe nateseka namna hii wakati wewe mtaalamu upo?🤣🤣🤣
Kuna ule ya mwanzo Nkamu,Kabla yaa hii uliyotoa.
Mimi mzima, Karibu tule Karanga.View attachment 2346521
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app


Nkamu Mguu softiiiiii!! Hio michirizii hadi rahaaa 😘😘😘Miguu ya baba![]()
Jina nakuletea pm auntHujasema aunt lete jina Hilo 😂😂
Ankle ya mama 😍Miguu ya baba![]()
Uchebeeee.......
Aririririririiiiiiiiiii!!!! Dadekiii kumbe mr Vocha una uchebe moja mattatta sana aaaauuuuwiiuiiiiii😍!