Selfika na JF: Snap it. Show it

Tutafute hela didi ake
Maisha sio magumu hivi

Af niliona sehemu eti mwanamke hatakiwi kupambana, ni vile tu shida zimetujaa😂😂
Maisha ni magumu bwana 🤣🤣
Imagine una hela sijui ka salary lkn unaishiwa 😂😂😂😂😂


Mwanamke pambo la nyumba wapwani wanasema…

Shida wanaume wenyewe watakubali uwe pambo? Tozo zote watakuwa tayari kuzibeba peke yao?
 
Tulia hapo nishushe somo la kutosha
Ngoja niombe ruhusa kwanza kwa bi mkubwa
Naona jana mlikua mnaongea wenyewe tu hapa, hivi mnaelewa kuwa wanaume pia tunapenda tena kuliko nyinyi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yatakuhindaaaaa shouougaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…