Danganya toto zinakera tena sana tu ..mtu awe clear jamani anataka nn na sio beating around the bush .ππππππππ!!
Acha kabisa mamy!! Sasa bora hata ujue yupo Bi mkubwa awe amekuweka wazi hilo halina shida kabisa!! danganya danyanya zakitotoooo yaniiiii sijui anakua kakuonaje Hakyanani!!π€π€!
Mdomo komaa π· Hebu nikamalizie kupanda maharage yangu hapo nyuma mie T huku saivi tunapandaaa πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπππ
Sawa mkuuπππππ Nitakuambia rangi nikianza kulila
Mwache avipe vitapuputika mabawa πVingekua vinaruka huku vinayumba ππππ... lakini pombe sio nzuri kwa wanyama, itavidhuru, ila nimecheka sana...
Mnajirudi ila mwenzio unakua ushamjeruhiii vyakutoshaaaa kihisia / mapenzi yote kwako yanaishaaa yanakataa kabisaaa inabaki tu no way ni mume wangu sasa nifanyeje teenaaa wengine Ndiokwanzaaaa unakua nayeye nikama umefungulia mbwaaaa.. mioyo imetofautiana ohoooooHebu acha mawazo mabaya. Acha negativity. Saint Anne anasema kuwa na Imani. Yes huwa tunateleza, lakini tunajirudi.
Yani sana tu , sijuiKudanganywa inauma mno asikwambie mtu π€£
Viharage vizuri hasa yawe hajakauka utafurahi na utamu wakeππππππππ!!
Acha kabisa mamy!! Sasa bora hata ujue yupo Bi mkubwa awe amekuweka wazi hilo halina shida kabisa!! danganya danyanya zakitotoooo yaniiiii sijui anakua kakuonaje Hakyanani!!π€π€!
Mdomo komaa π· Hebu nikamalizie kupanda maharage yangu hapo nyuma mie T huku saivi tunapandaaa πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπππ
Ila ninayempenda na nimeingia naye kwenye mahusiano kamili akifanya mambo ya ajabu haki nitasima mchana kweupee.
Tafadhali tu mtoto wa watu niliyempenda asiniumize.
Hili hadi Mungu nimemwomba sana na Nina amini anajibu.
Watu huwa wananiambia kuwa wanaume ni wasumbufu,Mimi nasema wa kwangu hata kuwa msumbufu.
Wanasema karibia wote wasumbufu,,wachache sana walipona.
Nasema katika hao wachache basi na wangu atakuwepo hapohapo.
Pendeza SanaHii hapa
Camera ilinibeba dearπ€£π€£πView attachment 2347891
Mashalaaaaaah ππππHii hapa
Camera ilinibeba dearπ€£π€£πView attachment 2347891
π€£π€£Huyu kaijaza hasaView attachment 2347893
Kazi iliyotuleta duniani ni kama mwanamama hapo juu. Tuje tuzae kuijaza dunia.
AmenMungu atusaidie sana wanawake!!
Asante dearPendeza Sana
Beautiful
Yeahhh.. weka wazi from the beginning ijulikane... sema sasa Wengi wetu hukofia kuweka wazi baabdhi ya mambo kwa warakataliwa au kutolewa nje! Kama muelewa atakuelewa tu japo kiukweli some truth hurts you know πDanganya toto zinakera tena sana tu ..mtu awe clear jamani anataka nn na sio beating around the bush .
Kupotezeana tu muda , sema hivi yaishe . Kiukweli inauma victims wengi ni wanawake katika suala zima la mahusiano .
Hausemi uongo π€£π€£π€£Nimeona nimeonaaaa Mdogo wangu umekorezwa kusawasawa ila safiii walau hata mabadiliko yanaonekana hata yale mabadiliko ya juu juuu tyu aisee au nasema uongo wapendwa wa Selfika???π€£π€£π€£π€£π
Wee sijaiona Sophy27 ikwapi hio selfii???Usifute kipenzi Ngoja niitafute jamaneeeπAsante dear
Yeah ukweli wauma Ila bora aseme ujue mmoja .. hii kucheza michezo ya wahindi sio kabisa .Yeahhh.. weka wazi from the beginning ijulikane... sema sasa Wengi wetu hukofia kuweka wazi baabdhi ya mambo kwa warakataliwa au kutolewa nje! Kama muelewa atakuelewa tu japo kiukweli some truth hurts π
Santo sana mama pasta!!Hausemi uongo π€£π€£π€£
Hongera bibie safi sana panda mwayaππππππππ!!