Yeah upo sahihi dearSaint Anne Tinsley sophy27 sikuhizi kwa huu ulimwengu tunaoishi kuolewa / kuwa katika mahusiano hakujustify Kwamba mumeo/mtu wako ndio haruhusiwi au hatapenda wengine huko nje hilo halipo!!
Nimesema tu mie msinipinge wala kunipopoa banduguu!!π note that!
It is the real life situation!
Nawafatilia wapendwaYeah upo sahihi dear
Sasa hizi kushare sana tu , japo mtu akienda kwa wengine asikudharau au kukuonyesha .. wanasema wenyewe mmoja inachosha wanatafuta ladha huko kwingine.
Ni balaaa
Karibu dearNawafatilia wapendwa
National Anthem mtoto mzuri Alayna mie nitafika kama mshenga, suala la mahari hata zile bata zangu mbili nitauza, hata hizo kasuku tutatoa..Nakala iende Post M-alone ππ
Ningekuwa napiga masanga ningevimixia na maji ya kunywa nione tena ningeweka hennesy si ndio wanasema tamu tamu vifikiri juice ππJamaa anakwambia anataka avipe asali leo π€£
Hakuna cha peke yakoSaint Anne Tinsley sophy27 sikuhizi kwa huu ulimwengu tunaoishi kuolewa / kuwa katika mahusiano hakujustify Kwamba mumeo/mtu wako ndio haruhusiwi au hatapenda wengine huko nje hilo halipo!!
Nimesema tu mie msinipinge wala kunipopoa banduguu!!note that!
It is the real life situation!
Sasa sijui ndio tamaa zenyewe sijui ndio nini.. Anajisemea Carrasco putin .mtajua wenyeweee
Mie najiondoa mwenyeweee sitakagi hekahekaaaa !! Yani unanipanga live yesuuuu!! Nakuacha mchana kweupeeee... hata kama una hela kiasi gani sipendagi dharau especially za rejareja kabisa mie!!Kupangwa si poa
Na umenena vyema Kama hujazoea ndo kabisa utaachia ngazi .
Huwa naimagine eti nitoke na mume wa mtu najiwekea position ya mkewe nasema hapana .. nikija kwa watoto ndo kabisaa nakataa .
πππ Copy and paste ya Alicia Kyes.. yupo humble sana ππNational Anthem mtoto mzuri Alayna mie nitafika kama mshenga, suala la mahari hata zile bata zangu mbili nitauza, hata hizo kasuku tutatoa..
Huyu mtoto hajui unavyomuelewa, hata reli ya SGR tupo radhi tuhonge...
π―π¨Hakuna cha peke yako
Leo upo nae kesho yupo kwa Amina
Maisha ni mzunguko .
Khaaa wee mjomba!!Vinapiga juice mzee, leo nataka badae nivipe asali nione
Tena ya tabora yenyewe badae navipa suop ya pweza na karanga ππKhaaa wee mjomba!!Asali tenaaa
Lakini lazima kuna chakula vinapendelea zaidi.. inabidi avipe papai na ndizi vitafurahi sanaJamaa anakwambia anataka avipe asali leo π€£
Tuishi humohumo ausiooo!!Hakuna cha peke yako
Leo upo nae kesho yupo kwa Amina
Maisha ni mzunguko .
Yeah bora kujitoa , wanaume hawaMie najiondoa mwenyeweee sitakagi hekahekaaaa !! Yani unanipanga live yesuuuu!! Nakuacha mchana kweupeeee... hata kama una hela kiasi gani sipendagi dharau especially za rejareja kabisa mie!!
"Bora uzima maisha ni matokeo"
π―π¨Mie najiondoa mwenyeweee sitakagi hekahekaaaa !! Yani unanipanga live yesuuuu!! Nakuacha mchana kweupeeee... hata kama una hela kiasi gani sipendagi dharau especially za rejareja kabisa mie!!
"Bora uzima maisha ni matokeo"
Vingekua vinaruka huku vinayumba ππππ... lakini pombe sio nzuri kwa wanyama, itavidhuru, ila nimecheka sana...Ningekuwa napiga masanga ningevimixia na maji ya kunywa nione tena ningeweka hennesy si ndio wanasema tamu tamu vifikiri juice ππ
Karibu sana dadaa kipenzi.... badi mida ya nakeeedd tunakukaribisha sanaaaa utaenjoy na kufurahi sweetsissπππ!Yani huu uzi haupoi hauboi asubui usiku alfajiri watu mpoo..mm nasoma tuu sharauti kwa wadogo zangu Saint Anne ,Antonnia Tinsley sophy27 cocastic na kaka zenu "et all"wanajijua
Tuishi humo mkuu hahahaaaAisee...