Selfika na JF: Snap it. Show it

Mm zamani nilikuwa kma Anne kulia Lia tu alafu unachokiliansasa na kile kisogo najiulizaga nilikwama wapi mm lakn sahiz roho imekuwa ngumu tutafuteni Hela jamn πŸ˜‚
Ameeeennn!! "Tutafute pesa"πŸ“
Mie nanote tyu jamaneeee sitii nenoo ilaa nna ka swalii auntie sophy27 Mjomba National Anthem ukitafutaa tafutaaa weeee na pesa hazikuji tafutaaa weee wapi unafanyeje hapo sasa auntie madame na venye you know life sometimes fucks!!πŸ˜‰πŸ˜‰
Majibu kwako sweetmadame sophy27 National Anthem
Tupeni mbunuu tupeni mbunuu tutoboe wapendwa
 
Sauwasauwaa Anne!!πŸ˜‰
Ila ninayempenda na nimeingia naye kwenye mahusiano kamili akifanya mambo ya ajabu haki nitasima mchana kweupee.


Tafadhali tu mtoto wa watu niliyempenda asiniumize.



Hili hadi Mungu nimemwomba sana na Nina amini anajibu.

Watu huwa wananiambia kuwa wanaume ni wasumbufu,Mimi nasema wa kwangu hata kuwa msumbufu.
Wanasema karibia wote wasumbufu,,wachache sana walipona.
Nasema katika hao wachache basi na wangu atakuwepo hapohapo.
 
Amiin
Anne muombee na wangu asiwe kivuruge🀣🀣🀣
 
Ujue tyu Mapenzi yana seasons mdogo wanguuu! Jiandae kwa yote na usiwe na lots of expectations kwa Mwenzio sometimes mambo hubadilikaa huyohuyoo anoonesha malovee kama yote hapo mwanzo anaeza kugeuka ukabaki unajiuliza bila majibuuu!! Hii inaapply kwa wotee yeyote aeza badilika
Ni kujiandaa kwa yoteee pia!! Na Sometimes Ni Kupambana kama mlivosema hapo juu na mamaa lipss Tinsley nawengine ikifika Crisis ndio balaaa ifike crisis afu no resolutions ndobasi tenaaaa til we meet again πŸ‘‹
Note that pia!

Nipo Naendelea kusoma tena πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡
 
Lazima zije Mungu anaweka njia Kwa watu wanaojishughulisha always na hakuna miracles sehemu ambako hukuweka juhudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…