Selfika na JF: Snap it. Show it

Shule nlikua na mic mchux, yaan nlikua naona likizo iishe haraka.
 
 
Pamoja na mateso yote yaliyokuwepo Shuleni ila bado nilikuwa navuta.
Siku niliyoenda kwa wakati shule ni 1 tu!Wakati naanza form1,Baba alinipeleka.
Alipoanza kuondoka nilimlilia sana.

Nje na hapo sijawahi kuwahi Shule.
wee ulitisha mnooo
 
Nimecheka mnooooo.
 
Ugali kwa ndondo, afu ndondo enyewe lina top layer, bado hawajaweka mafuta ya taa kukata nyege.

sijutiii kusoma Gvt, full vitukoz.

Prepo ya usiku, ikiisha kuvamia mashamba ya shule kuvuna mazao na kuyala. Nmekumbuka vingi mnoooo.

Gvt school imenifunza na kunijenga haswaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…