Uwiii pole🥺
Sehemu za hivyo zinauma hadi unaweza kuomba pooo...
Hasa ukikaa muda mrefu,wakati wa kunyanyuka sasa.
Au asubuhi 🙌
Niliwahi gonga mguu maeneo hayo kwenye mota ya Bomba..
Ilikuwa harakati za kufukuza kuku wa kuchinja😂,nikakosea timing,badala ya kuruka ile mota nikaenda kugongesha mguu.
Mimi niliuwahi na Diclopar ya kuchua.. nyingine nikanywa hali ikawa angalau.