Hata kipande kimoja hamalizi hapo mara huyoo anakimbilia baharini kuogelea! 🖐🖐Lizzy anakula kipande kimoja View attachment 2345783
Mm hivi vyote lakn Bado najiuliza nitapata usingiz kweli na mlo huu😂😂😂
Kweli Leo umeamua mamiii ukiona mwanamke kavaa nguo nyeusi usiku ujue Kuna kitu kinaenda kufanyika usikuUsiku mwema wapendwaaa mlale unonooo!!
Antonnia was here!!




👏👏👏Umebanana kazini binti? Pole sana ila ndo vizuri. Yo Daddy is extremely proud of you 👏👏👏🙏🏿
Hello team viewer Carlos Tevez 😂😂😂
HahahaKweli Leo umeamua mamiii ukiona mwanamke kavaa nguo nyeusi usiku ujue Kuna kitu kinaenda kufanyika usiku
Tukutane mwezi wa 6![]()
Pepo trokaaaaaaa!!👈👈👈👈 Tena sheendwaaaaa na uteketee kabisa!!Kweli Leo umeamua mamiii ukiona mwanamke kavaa nguo nyeusi usiku ujue Kuna kitu kinaenda kufanyika usiku
Tukutane mwezi wa 6![]()
Omelette bana 😂Me nishashiba pilau hapa, hiyo pepsi ingenifaa sana kushushia😋
Mayai plain unashiba au ndio diet
Jana nimeselfika hapa nasubiri yako ukaingia mitiniCarlos Tevez kwa shangwe basi njoo uselfike 😂😂😂
Mbona sikuona? Uliselfika wakati nimelala amaJana nimeselfika hapa nasubiri yako ukaingia mitini
Kupatwa kwa T...Moyo unanikosea, moyo unanikosea
Nakaa na wewe, natembea na wewe
Nalala na wewe, bado unanikosea
Zungumza nami mchana (La-la-la)
Zungumza nami usiku (La-la-la)
Kama haifai hata ndotoni tu
Usishindane na kichwa (Aah)
Tumalizane yakaisha (Aah)
Moyo nirudishie maisha (Aah)
Mtupu, mtupu nimekwisha
Mida ile ile tuuMbona sikuona? Uliselfika wakati nimelala ama
Kwenye kibus.. ulikuwa unaenda wapiHiyo hapo
Ahhh uko vizur njoo nikufundishe kupangilia sauti Ila tutarekodi usiku ndyo napendaMoyo unanikosea, moyo unanikosea
Nakaa na wewe, natembea na wewe
Nalala na wewe, bado unanikosea
Zungumza nami mchana (La-la-la)
Zungumza nami usiku (La-la-la)
Kama haifai hata ndotoni tu
Usishindane na kichwa (Aah)
Tumalizane yakaisha (Aah)
Moyo nirudishie maisha (Aah)
Mtupu, mtupu nimekwisha
Hahaha Dada , sipatani na mapenzi ngoja tuwaachie wanaoweza .Kupatwa kwa T...
Mahaba niteketezeee🤸🤸🤸🤸!!
Enjoy to the fullest dear!!😘😘 Mapenzi matramuuu!!
Daah ume zoom kinoma. Nilikuwa naingia rock city one time..Kwenye kibus.. ulikuwa unaenda wapi