cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,296
Cna vocha, ko picha hai upload. Yu know???Karibu mimi mwenyewe nimepewa mlongo
Selfika kwanza
Cna vocha, ko picha hai upload. Yu know???Karibu mimi mwenyewe nimepewa mlongo
Selfika kwanza
Boss tajir wa mwenye v8 brand new from UK London vocha vp boss mume halali wa AntonniaMselfike
Umeikata sana , Mjep.Mselfike
Ndio nimefika mpaka kwa mama betha na jehu wanaokaa jirani na shule iyo mkuu.Mwakaleli secondary unapajua!
Yeah nipo kijiji kimoja kinaitwa suma kuna ndizi sana embu karibiaHebu sema kweli,![]()
Niko town mie.Yeah nipo kijiji kimoja kinaitwa suma kuna ndizi sana embu karibia
Ok/ uko naogopa kupigwa nondo ya kichwaNiko town mie.
Naisubiri hiyo selfieSawa ngoja niselfike hapa hapa saloon
Madam hii nguo niliyovaa imenibana kweli kweli, nikiongeza kidogo patakua hapatoshi hapa😁Umeikata sana , Mjep.
Hebu ongeza ongeza jamani.
hahahahaha,we janja janja sana.niaje lknNasingiziwa mimi jamani
Tozo city shuka basi unisalimie
Tozo city 😂Kwamba nishuke nisamehe nauli na hiz tozo🤣Tozo city shuka basi unisalimie
Tall darkLi zuri sana wewe
Kisa nini? Hamna luxury buses?Haha tuulize siis tunaoishi mwishoni mwa Tanzania tunavoteseka 😂😂hatujawahi kumiiss