Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Junia ameshika KameraJiselfishe wewe sasa
Junia ameshika KameraJiselfishe wewe sasa
Huyu Junia mwambie ashike simu aachie kamera😁Junia ameshika Kamera
Tuko hapa Cocoriko chief karibu tumwagilie moyomuda wa kulewa huu.mko wapi .tusitegeane ktk kulewa
Sema nikupe nn 😂😂Unaniita rafiki unataka uninyime nn![]()
iko pande zipi nisogee mm nipo hp nexus makumbushoTuko hapa Cocoriko chief karibu tumwagilie moyo
Nipo Chilabombo mwananguTall dark
Selfika


Dunia ni kijiji Saint AnneHili la kwanza tutakuja kuling'oa tuondoke nalo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app


Zee la mchongo

Nyie huyu

Wa kubebwa tuu nyieNiko live na chama langu 😂 Carlos Tevez View attachment 2344530
Mtume Kuna muujiza hapa...EnheeeDunia ni kijiji Saint Anne
Yaani nakuomba namba
Halafu unanipa ya mwamposa
Wewe wa kunifanyia hivyo kweli![]()
Kwendraaa 😂😂😂Wa kubebwa tuu nyie
Daah VAR wameamua kuwadhulumu madogo goli Lao asee.Kwendraaa 😂😂😂
Kelele moja kwa VAR
Weee hujaangalia mpira eee? Lile off side kabisa 😂😂😂Daah VAR wameamua kuwadhulumu madogo goli Lao asee.
Sio poa ulivyonifanyiaMtume Kuna muujiza hapa...Enheee
Kesho naenda Kwa Mwamposa..
Sijawahi kwenda tangu nimefika mjini.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mpira nimeangalia. Nasemea lile ambalo wamedai Mendy amechezewa fauloWeee hujaangalia mpira eee? Lile off side kabisa 😂😂😂
Afu kipa wetu alikuwa anagaragara chini kaumia,. Eti mtu ajipigie tu 😂😂😂😂
Lile ambalo Mendy alianguka?Mpira nimeangalia. Nasemea lile ambalo wamedai Mendy amechezewa faulo
Sasa kipa mwenyewe anasitasita kutoka golini akitoa boko anaangukaLile ambalo Mendy alianguka?