Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23]Raha ya kuvuta Anko wako awepo tuvutane Sasa aunt kuvutwa na joto tu Bora nikapambane huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kitu shangazii, nimecheka had chozi linatoka, mie nilikua nna ujinga mwingi mnoo.

Nawahi kutoka home, afu nikifika town siend shule nakaa Lodge siku 4, kuzurura tyuuh town na kufanya upuuzi mwingine. Siku yangu ya ku report shule ilikua n j5 ya week ya kufungua shule.

Afu home natoka Jmos, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimemic life la skongaaaa. Uwiiiiih.
 
[emoji172][emoji172][emoji172] [emoji3531][emoji3531][emoji3531]
IMG_20220903_113200.jpg
IMG_20220903_113549.jpg
 
Hahaa kachanga kasema uje tu umuone na zawadi juu; burebure hatakiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umemissika sana mwana-field
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakujaaa mama maleziii, nambebea baby kits,
Sina jambo dogo,
Field yaan inaenda poaah, afu aris imenifurahisha mnoooo, yaan nimewishi iwe Final Results,

GOD kanionesha makuu na maajabu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom