Kwenye basi kumbe kuna network? 😂Mbna kututisha asubuh asubh😂
Embu selfika niamini upo kwenye basi!Ya kutosha tu😂
Embu selfika niamini upo kwenye basi!
Nimeamini ila umenibania lips 👄 denda! 😍🥰
Ni kwema..Ninmuda sana sijawasiliana na huyu mtu aise.
Kwema lakini?
Lips zile hazipo siku hiziMadam tumemiss zile lips fanya namna tafadhali
Nimemiss kusafiri na bus kubwaaa