[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli nikiona mtu ana date na boda boda, huwa namshusha mnooooo.Sure
Ila watu wa Arusha wana hasira jamani
Ni vile tu sio famous kama wakurya,, ila na wao mori zikipanda moto wake ni balaa..
Nimeogopa sana [emoji23][emoji23] nyie wanaume when it comes to cheating issues mnakuwaga wakatili sanaaa โฆ
Mwisho jana nakwambia
Hapa kuna muda nawaza tumwambie faza house aongee na mpangaji wake, siku wasije butuana mtu akateleza kwenye tiles akajiKanumba..
Maana nilivyohisi jana ni kama dada ameelewa sana show ya boda boda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sio muda utanirudia, nitakukumbusha hiyo kauli yako ๐๐๐๐๐ sitekeki
Tulitekeka wote basi au ๐๐Sio muda utanirudia, nitakukumbusha hiyo kauli yako ๐๐
Wana ulimbo itakuwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Boda boda sijui wana nn hata, yaan ni Malaya mnooo. Khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiiiihWana ulimbo itakuwa
Me nilitekwa na vingi, ni vile tu we shoga angu azawaiz tungebonga biznes mpya ya connection ile jana ๐๐Tulitekeka wote basi au ๐๐
Ile peke yake haitoshi bana ๐ฎ
Naomba password nikuangalizieHata sijangalia mie uwiiiiih.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Suka twende kilioni uchumi umetait[emoji23]
Wow! National Anthem hi mali ni safi kabisa kama dhahabu iliosafishwa kwa moto nimeshafikisha 10ml bado 16ml nikushtue umuagizie her dream car!
๐๐๐๐๐๐ ngumu kumezaMe nilitekwa na vingi, ni vile tu we shoga angu azawaiz tungebonga biznes mpya ya connection ile jana ๐๐
Kumbuka huwezi pata vyote sehemu moja, so pambana na hali ๐คฃ๐คฃ
Pambana mkuu, anakusabahi hapa ๐๐๐Wow! National Anthem hi mali ni safi kabisa kama dhahabu iliosafishwa kwa moto nimeshafikisha 10ml bado 16ml nikushtue umuagizie her dream car!