Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,881
- 147,387
Itakuwa jimboni eeeeh[emoji2957]Karoho ka uroho kananishawishi kuondoka na wine, Mara Robertson ilee. Ila si mchezo, mgawaha wa Kanisa unashawishi.
Karibu Mbinga!.View attachment 2338070
Itakuwa jimboni eeeeh[emoji2957]Karoho ka uroho kananishawishi kuondoka na wine, Mara Robertson ilee. Ila si mchezo, mgawaha wa Kanisa unashawishi.
Karibu Mbinga!.View attachment 2338070
Ntakufa kwa presha 🤯🤯
Dah 😋😋😋 kutoana mate hukuView attachment 2338377
Kilimo cha umwagiliaji kinaweza kukupa matokeo chanya zaidi ya Kilimo cha kutegemea mvua.
Ngoja tuendelee kusubiria Wanasiasa kutupa uelekeo wa kesho yetu 🤪
Hello Monday 🥂
Mambo hayo😋😋Majira yenyewe ndio hayaView attachment 2338441
Kuhusu mguu usimwage mtama kwenye kuku wengi watu wataanza kukunyapia.Kweli kabisa wanyaki tuna tabia nzuri sana[emoji2956][emoji2956], na muguu ndio usiseme. Si ndio Its Pancho eh?
Kuna jamaa kachinja mbwa hapa kisa kala kitimoto ambayo ilibidi apeleke kwa mteja..Majira yenyewe ndio hayaView attachment 2338441
Umeisha tamani 😁😁Mambo hayo😋😋
Acha kabisa yaani😂Umeisha tamani 😁😁
Mie zangu Euro , nimewahi 😁😁😁National Anthem Njoo nikugawie 🙂View attachment 2338494
Shoga angu Am fykin tayad 😂😂Daaah🤣🤣🤣🤣
Vijana wa hovyo kabisa, wapewe tuzo kama vipi
Njoo nikurishe huku nakubembeleza 😁😁Acha kabisa yaani😂
Pole shogaa jamanShoga angu Am fykin tayad 😂😂
Leo ndio niko na real blue Monday
Chaaaa 🙌🙌
Safiiii jirani..View attachment 2338377
Kilimo cha umwagiliaji kinaweza kukupa matokeo chanya zaidi ya Kilimo cha kutegemea mvua.
Ngoja tuendelee kusubiria Wanasiasa kutupa uelekeo wa kesho yetu 🤪
Hello Monday 🥂
Nipo huku😅Njoo nikurishe huku nakubembeleza 😁😁