National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Ulienda wapi shangazi ππMie hii likizo si nilisafiri nikafifanya kuangalia King'amuzi DSTV online kupitia simu weeee Siku mbili bando la wiki kwishaaa!! Nikikaa vibaya hata siku moja bando la wiki kwisha! Bora kilivokata hii juzi kuweka hadi Jumapili!
π€£π€£π€£
Tena huko ndio kwenyewe upako nauskia live live
Insta jaman, ukiingia sekunde kidogo tu kisms kinapop up "umetumia 75% ya kifurushi chakoππππ Wanashinda instagram lazima waone wanapigwaa tu .. instagram inafukia data sio kutumia
Tumia bundle za whatsapp pekee itasaidia pia mkuuKula mapindi kama Lynda.com 1080 au 8k ndio inapendeza sasa, kila detaisl unaona. Simu zinatuongiza gharama tu mwisho wa siku nilicho ona kwenye smart nataka Google drive, na telegram na whatsapp mengine hayaga kazi ndio maana kuna kipindi huwa napiga chini smartphone natumia kitochi tu
Natumia zaidi Telegram kuliko whatsapp . Ila huwa naweza kuishi na kitochi aisee kwa mfano kama sio kuanzia kesho basi kesho kutwa naishi na tochi mie ππTumia bundle za whatsapp pekee itasaidia pia mkuu
Kuna this guy anaitwa Beda Andrew nilisikia nyimbo yake moja inaitwa Mbali sana
Njoo gheto nina cd zake ππKuna this guy anaitwa Beda Andrew nilisikia nyimbo yake moja inaitwa Mbali sana
Anaimba vzuri sana, sema sijamfatilia kama ana zingine
Instagram zile high quality reels, videos na picha, halafu ujue ile ni endless una scroll tu, pia huwa inatangulia kupakua picha kabla hujazifikia, huwa ina preloads videos na picha, lazima i consume excessive data sio jamiiforums ina pagenationInsta jaman, ukiingia sekunde kidogo tu kisms kinapop up "umetumia 75% ya kifurushi chakoπ
Ndio, jimboni Uaskofuni Saint Anne
Nikutakie kila heri mkuu...Natumia zaidi Telegram kuliko whatsapp . Ila huwa naweza kuishi na kitochi aisee kwa mfano kama sio kuanzia kesho basi kesho kutwa naishi na tochi mie ππ
Nipo bombabili sasa, hamna hamshahamsha.Nilijua tu ni jimboni hapo maana kila kitu kinapatikana humo ndani,
Enjoy
Me hua nafurahia net haisumbui kumbe ndio bando linaenda hvyo.Instagram zile high quality reels, videos na picha, halafu ujue ile ni endless una scroll tu, pia huwa inatangulia kupakua picha kabla hujazifikia, huwa ina preloads videos na picha, lazima i consume excessive data sio jamiiforums ina pagenation
Nilitoka mbali Kidogo na Bushi kwangu mjomba!Ulienda wapi shangazi ππ
Kumbe nipo kwa bed kitamboπ
This song daah basi tuπNjoo gheto nina cd zake ππView attachment 2340324
Ooooh,hongera,Nipo bombabili sasa, hamna hamshahamsha.
Kanisa gani hilo?Ndio, jimboni Uaskofuni Saint Anne
Fumba machohii pichaa sio mahala pake..sio nzuri hata kidogo