Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,222
Nimelegezwa kihisia 🤣🤣🤣🤣Siku hizi kabadilika balaa 😂😂
Nimelegezwa kihisia 🤣🤣🤣🤣Siku hizi kabadilika balaa 😂😂
In this world there are no UGLY PEOPLE, ONLY POOR PEOPLE.....🤦🏿♂️🤦🏿♂️🤦🏿♂️🤦🏿♂️View attachment 2339959
😁😁 alafu watu wanadanganyika, alie waumba anatisha balaa acording to maandiko, ukija malaika wenye kwato na macho kila sehemu wana tisha kinoma, ukija malaika wenye sura nne na majicho jicho wanatisha kinoma.. sasa sijui huu uzuri wanaoita watu wana utaka wa nini 😁😁😁In this world there are no UGLY PEOPLE, ONLY POOR PEOPLE.....
Safari tena 😔😔😔😒
hujaniaga 😔😔😔
Naomba nikae chini nicheke kwanza🤣🤣🤣🤣Nimelegezwa kihisia 🤣🤣🤣🤣
Mdada ana sauti nzuri sana huyu.. ngoma zake na Chike huwa ni 🔥🔥
Hahaha kama za baba zetuHaya dada wangu . Sura za baba ndio zikoje![]()
🫣🫣🫣🫣
Uzuri wa mwanamke sio sura 😁😁
Kwema mkuuNambie
Kwema mkuu mambo vipiKwema mkuu
mambo sio mabaya mkuuKwema mkuu mambo vipi
Ni jambo jema mkuu...mambo sio mabaya mkuu
Anajua sana kuimba huyu mwanamke aisee......Mdada ana sauti nzuri sana huyu.. ngoma zake na Chike huwa ni 🔥🔥View attachment 2340060