Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,847
😂😂😂 Mods sio watu wazuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwenye kale kaugomvi nilikuwepo ila sikujua kama kuna mtu alilazwa mbele
😂😂😂 Mods sio watu wazuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwenye kale kaugomvi nilikuwepo ila sikujua kama kuna mtu alilazwa mbele
Kuna wengne hapa unabadilisha asubuhi jioni ushajulikana [emoji23]
Sasa yeye ni mwezi kabisa ushapita
Huu uzi ni wa selfii ya matukio ya kila siku kama utapendaHahahaha
Kaka ake mbona Sina kapicha ka kutupia wajameni...
[emoji23][emoji23][emoji23] Mods sio watu wazuri
Fanya kama unanisaidia tu dadake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka ake nimeiweka na nimeshaifuta eti...
Hahhhah,umeona eh Shunie pitia hapa useme chochoteNilijua tu ukafuta haraka mmependezana kwa kweli.
Aliharibu nini?Siku nyingi
Ukimuita mrembo atakuja akwambie anafanana na baba akeNamshangaa sana huyu mrembo
Hapana nataka mwili ulale chini miguu iwe juu mana sio kwa mizurulo hii hata hivyo ishapoa tayali nakula nilale kiduchuKaa juu ya kabati uinin'ginize chini...
NajuaHuu uzi ni wa selfii ya matukio ya kila siku kama utapenda
Ewaaa, na siku yangu itaisha vizuri.[emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ewaaa, na siku yangu itaisha vizuri.[emoji8]
Dah, Mungu fundi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]nafsi yangu imefurahi dadake, asante!Hiyo hapo ya mwisho kaka akeeView attachment 1256483
Naifuta Sasa kaka ake.Dah, Mungu fundi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]nafsi yangu imefurahi dadake, asante!
Unaweza kufuta tu dadake!!Naifuta Sasa kaka ake.
Hiyo hapo ya mwisho kaka akeeView attachment 1256483