Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,281
- 33,591
Ngoja nitupie na mimi aisee!
Ndo ukafuta sio!Sio mimi jamani
Itabidi tuyajengeKwendraaaa
PoleeeMimi nipo hapa hapa wala sijaenda sehemu
@yna2 tupia tena dadake, tupia tu tuchangamshe viungoEmbu toa miguu kwenye kiti bwana..


halafu unitag kakako


Wewe unatokeaga wakati wa picha tu
Hahahaha@yna2 tupia tena dadake, tupia tu tuchangamshe viungohalafu unitag kakako
![]()
Kama leo nivyoikuta ya my ex mkwe!kama zali vile
Iko siku utaona tuu
We una uzee gani, acha kujizeeshaUnajua mimi mzee kwahiyo najuaga na wenzangu wazee wenzangu
Kishundu dah jf mpo vyema kila idaraAuntie nigawie kishundu jamani![]()
Nipo kuisubiriNgoja nitupie na mimi aisee!
Worry outNipo kuisubiri
SavedNjoo uchukue auntie nakukatia za juu View attachment 1256380