mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,355
- 23,084
Tuma tena mi sikuionaYeleuwii,, mie nilishatuma tangu karne ya kwanza huko..
Tuma tena mi sikuionaYeleuwii,, mie nilishatuma tangu karne ya kwanza huko..
Hiyo ndo shape hua naipenda,Njoo uchukue auntie nakukatia za juu View attachment 1256380

Kiwanja anachokitafuta huyu sidhani kama ni hicho![]()
Uliweka picha ya wifi yetu ukiwa nae dakika ziro ukafuta nilimfananisha na Shunie.Hiyo ndo shape hua naipenda,
Sio misambwanda![]()
Umeona eeehhY
Kama leo nivyoikuta ya my ex mkwe!kama zali vile
Najua ulipo zitoa hizo nywele maza wangu anazo ajabu kmnyima mjukuu wake nimechukiaHahaha sawa auntie View attachment 1256423
Una shepu moja matata sanaNipo kuisubiri
Poleee
YalaaaahUna shepu moja matata sana
Kuna watu wanafaidi
Mkuzi waterfall LushotoView attachment 1256447
SeenHahaha sawa auntie View attachment 1256423
Uwongo mpendwaWacha wee
Tukomeshe Mpendwa sijui nikanunue dawa angalau yajae na mimi 🤔Eli79 kaka akeeeView attachment 1256450