Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂
Af hiyo ipo sana, hasa kwa mtu ambaye humfahamu watu wanamzushia tu.

Kwahyo kuanzia sasa uwage unasalimia shogaa😅

Ila bana mwenyew kusalimia salimia watu ambao sijawazoea sina labda niwe eneo hilo nimesimama sawa ila sio napita njia basi kila kundi la watu nisalimie hapana kwakwel.
Sisalimii njiani mm 😂
Tena nitakuwa napita na airpods sahivi
Ndio wanione naringa vizuri 🤸🏻‍♀️
 
Sisalimii njiani mm 😂
Tena nitakuwa napita na airpods sahivi
Ndio wanione naringa vizuri 🤸🏻‍♀️
Kuna kipindi ndugu yangu alitoka kuleee mahome akaja mjini for the 1st time.
Hyo siku tumetoka unajua ni anasalimia kila mtu tunayekutana nae + waliokaa vibarazani na madukani heee nikamwambia uncle inatosha huku watu hua hawasalimiani sana akashangaa😂😂😂
 
Back
Top Bottom