Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Ili tumwambie kama walimsifia cha ukweli au walimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Ili tumwambie kama walimsifia cha ukweli au walimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Imajini
KabisaIli tumwambie kama walimsifia cha ukweli au walimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Itakuwa walitaka kumuongelesha..au kuna chalii ya chuga anaset mitambo.Ili tumwambie kama walimsifia cha ukweli au walimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Ana sauti nzuri balaa, nimetoka kuisikia hapa😍😍Imajini
Hiyo sauti sijui
Itakuwa ya ngapi
Sijui Nota sijui Kinubi
Nipo nasubiria
Yote yawezekanaItakuwa walitaka kumuongelesha..au kuna chalii ya chuga anaset mitambo.
Ni kweli ana sauti nzuri ya upole, ile wanaita ya kumtoa nyoka pangoni😍😍Itakuwa walitaka kumuongelesha..au kuna chalii ya chuga anaset mitambo.
Aisee...kuna haja kuwa karibu na wewe jirani.Ana sauti nzuri balaa, nimetoka kuisikia hapa😍😍
Sasa itakuwajeAna sauti nzuri balaa, nimetoka kuisikia hapa![]()


Huna connection jirani, kaa na mimi vizuri na kwa ukaribu😂😂Aisee...kuna haja kuwa karibu na wewe jirani.
Muwe mnasalimia watu, hua wanatuma voice note pm😂Sasa itakuwaje
Sisi tunaosubiri
Ama ana kisauti![]()
BagheshiNi kweli ana sauti nzuri ya upole, ile wanaita ya kumtoa nyoka pangoni![]()

Wacha mihogo ikauke niuze.. Lenie ntamuomba aniunge.Yote yawezekana
Maana ni Li zuri
Niwape na screenshot?Ana sauti nzuri balaa, nimetoka kuisikia hapa😍😍
Tupee tu jirani..Niwape na screenshot?
Ipo waziMuwe mnasalimia watu, hua wanatuma voice note pm![]()


Serious bagheshi, nimeisikia liveBagheshi
Real are you serious
Hivyo hivyo hata kama sijapatia
Acha dhambi bhasNiwape na screenshot?
Wapeee waaminiNiwape na screenshot?