wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,470
- 2,095
Haya Nkamu, na wewe fanya kweli sasa 😄😄
Umeamkaje BL
Ngoja ni like
Leo nitafatilia usaili unakuaje, jiandae😂😂😂😂😂niache bana nikuwe
Hatujachelewa, twende jua kali 😂😂😂😂
Hapa unamaliza kazi, kwa 5L maisha ya gari yanakuwa marefu sanaBro usisahau.
Nina body 2 nataka zipigwe body za wrangler.
Nimeweka engine ya 5L unaijua ilivyo ngumu
😘😘😘Gud night ccy
Niko njema sana Wige!✌️Umeamkaje BL
Nani alikwambia usiende hata mujibu wa sheria? Ulikataa kusoma hata Makongo .. ungekuwa unajua kitara ni nini…Didi ake Depal nisaidie hili linamaanisha nini sababu hawa vijana siwasomi
Daaah🤣🤣🤣🤣Nani alikwambia usiende hata mujibu wa sheria? Ulikataa kusoma hata Makongo .. ungekuwa unajua kitara ni nini…
BTW kwa hao vijana wa hovyo they meant kuunganisha private parties… asee vijana wa hovyo hawafai 😂😂😂🙌🚮
Mimi zangu zimejaa tele hapa NkamuHaya Nkamu, na wewe fanya kweli sasa 😄😄
Mulemule yaaniMtakuwa Mlipita shule moja.
😘😘😘👋👋
✌️Mie Sijambo mjomba!😘😘😘👋👋
Nafutahi kusikia hivyo shangazi wangu 🤗🤗✌️Mie Sijambo mjomba!
☝️☝️☝️☝️☝️Kama unatamani ungekuwa ndiyo wewe nyoosha mkono juu🤪🤪🤪
View attachment 2338080