Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamaa wana kazi nzuri. Kesho nitamuuliza ataniambia walifanyia Arusha sehemu gani.
Mkuu kama wana uwezo wa body ya wrangler utakuwa umenisaidia sana.
IMG-20220828-WA0001.jpg
 
Mie siogagi kila siku,mwendo wa passport tu

Eti unaweza fananisha na la mbeya?

Nikiwa mbeya naoga ya baridi,
Mbeya hakuna baridiii, narudia Mbeya haiifikii Songea kwa baridi, kule mie nilikua naoga ya baridi, na waka sikuwa nahisi sana, ila huku tobaaaaaaaah,

Baridi inapiga kwenye mfupa, kuna mtu nimeongea name kwa cm ananiuliza umemeza barafu mdomoni, yaan had kuongea kwa kutetemeka uwiiiiih.

Noumaaaaaaaa!!!!

Ntakua naoga mchana tyuuh, usiku nehiiiiii.
 
Mbeya naogaga ya baridi,ka mwenyeji kangu kanaogopa baridi hako,

Songea kuna baridi bana
 
Usiku mwema wapendwa ✌️✌️✌️✌️ 😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴!
 
Back
Top Bottom