Selfika na JF: Snap it. Show it

β˜ΊοΈβ˜ΊοΈβ˜ΊοΈβ˜ΊοΈπŸ€—

Hii mistari ya kubembelezea usingizi kabisa hii 😁😁

Alafu 🐠 wa kwenu ni aina gani hao Poker . Kama ni wale nnaowapenda sana unipeleke soon πŸ€“
 
Daaah, mwamba leo umeshukiwa na Roho Wa Bwana....
Roho Wa Mungu kila siku yupo nasi kila nukta ya pumzi, kama neno la Mungu linavyosema hatotuacha paka mwisho wa dahari na hayo mafuta aliyo yaachia ndani yetu huyo Roho wa kweli. Sema Mungu ametutoa wengine kwa deep deepest dark darkness πŸ˜€πŸ˜€ wakati mwingine ukisha ji mix na old wine basi kidogo unapata moto hasa makazini ili ziende lazima wakati mwingine uwe wa moto. Ila Mungu yuko kazini bado ana repair chombo chake , maana hata hapa tulipo ni kwa neema wengine huenda ingekuwa history zamani, .. toka jana haka ka wimbo hakajatoka masikioni mwangu, nikilala nikiamka ninako tu
 
β˜ΊοΈβ˜ΊοΈβ˜ΊοΈβ˜ΊοΈπŸ€—

Hii mistari ya kubembelezea usingizi kabisa hii 😁😁
Jua kwamba wewe ndio wangu na sura yako ndio dawa yangu na mahaba yako ni tiba kwangu!
Ebu tasmini kisha nipe jibu hivi kwanini hutaki kunipa nafasi kwenye moyo wako?
Nakuitaji sana kwani wewe ndio faraja yangu.
Niamini na unipe nafasi naahidi kukupenda na kukujali kamwe hutojutia kumpenda Poker
Kwetu Tanga samaki ni jodari mamito!
 
Kuna siku Pasta alisema unadhani ungekuwa mkamilifu Kwa kila kitu,ungepata muda wa kumtafuta Mungu??

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hata anguko la Lucifer ni ukamilifu. Na nyakati ambazo mtu anajiona mkamilifu ndio anguko lake lilipo.. Kuna kipindi dhambi inapata nguvu ndani yetu kwasababu Mungu anatuita na sio kwamba ana tufukuza
 
Mkuu sound za hivi za maneno hazifanyi kazi, nenda zaidi ya hapa mkuu πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. kila mtu ana mdomo wa kuongea maneno kama haya.. Unaone wenzako kina Harmonize wanapeleka Range Rover Evoque na majina yao wanao wataka πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ooh! Pesa siyo tatizo kwa pedeshee Poker hapa ni kisiwa cha pesa japo najua Lizzy ni tajiri sana anamiliki 5 star hotel hapo Zanzibar! Ila hizo marange sijui ma V8 ntamdanganya ila hivi vi ist cjui vi crown vi noah namzawadia! Wewe nipigie pande mkuu pesa siyo shida hata siku moja! πŸ˜‰
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mpelekee kwanza Crown GRS204 ya kuanzia 2010+.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…