Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,947
- 177,163
Ikinipendeza nini tena mjomba???😳 Madini si yanapatikana kwenye Baadhi ya vyakula mjomba 😉Ikikupendeza shangazi 😁😁😁 madini muhimu yote yapo
Ikinipendeza nini tena mjomba???😳 Madini si yanapatikana kwenye Baadhi ya vyakula mjomba 😉Ikikupendeza shangazi 😁😁😁 madini muhimu yote yapo
Wakati unaenda utanicha kwa Shangazi Antonnia hata siku mbili tatu anitembeze tembeze 😁😁Ndio
Michopoo miwili na Primus moja
Aah sana tu
😀😀😀 ikikupendeza kupata hivyo virutubisho nikuchukulie sokoni wakati waja kukutembeleaIkinipendeza nini tena mjomba???😳
Imeisha hiyo
Ndio ndio shangazi nakuletea home kwako 😃😃Ikinipendeza nini tena mjomba???😳 Madini si yanapatikana kwenye Baadhi ya vyakula mjomba 😉
Unaniletea nini Kwani mjomba???Ndio ndio shangazi nakuletea home kwako 😃😃
Basi nikisubiri mjini kukupokea shangazi wangu 🤗🤗🤗Mie kule nimehama mjomba hapa Nipo nafunga virago vyangu nahamia mjiniii tukifungua tu makazi mapyaaa sijui nitaingia ofisini na pozi gani walai!😉
Zawadi tu shangazi jamani 😊😊Unaniletea nini Kwani mjomba???
Kwahio nyie mmepungukiwa kinga rafiki???🤔 Lol Poleni sanaKinga ya mwili
Nitakuja kuchukua hukohuko mwenyewe si nimekwambia nahamia hukohuko mnakoita mjini kwenu!!!?? Asante sana kwa dhawadi mjomba nazifuata soon!Zawadi tu shangazi jamani 😊😊
Utanikuta Shangazi standa naiusbiri basi au airport ? lazima nikupokee shangazi yangu 🤗🤗🤗Nitakuja kuchukua hukohuko mwenyewe si nimekwambia nahamia hukohuko mnakoita mjini kwenu!!!?? Asante sana kwa dhawadi mjomba nazifuata soon!
Usihangaike mjomba huku vyote vyapatikana! Wabheja sana !😀😀😀 ikikupendeza kupata hivyo virutubisho nikuchukulie sokoni wakati waja kukutembelea
😁😁😁😁 basi utuletee huku mjini shangaziUsihangaike mjomba huku vyote vyapatikana! Wabheja sana !
Jiandae kunitembeza na kunionesha mazingira mjomba!!Basi nikisubiri mjini kukupokea shangazi wangu 🤗🤗🤗
Mwili haujengwiKwahio nyie mmepungukiwa kinga rafiki???Lol Poleni sana
Nawaletea vyote mjomba nyie andaeni list ya mnavyotaka tu😁😁😁😁 basi utuletee huku mjini shangazi
🤗🤗🤗 Hilo ondoa hofu kabisa shangazi yangu, hakuna kinacho haribika kila kitu kitaenda safii kabisa shangaziJiandae kunitembeza na kunionesha mazingira mjomba!!
Mjomba selfika basi sijakuona kitambo mjomba!
WachaaNawaletea vyote mjomba nyie andaeni list ya mnavyotaka tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Kwahio huu Mwili Wangu unaona umepungukiwa madini rafiki??? 😉😉🤔Mwili haujengwi
Kwa matofali
Elewa hilo