ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,496
- 126,785
Nasikitika sana sis darling, nasikitika sijakuona hata unyayo[emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa una nyota na wanasiasa
Nasikitika sana sis darling, nasikitika sijakuona hata unyayo[emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa una nyota na wanasiasa
Hebu tupia picha kwanza we mrembo, mambo gani unatufanyiaAcha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee baba kumbe we kijanaMzee nani acha kunizeesha we mrembo
Unataka kuninyima nini?
Eenh hiyo aliyotuma ndio aliyofuta
MgongoNa wewe umetamani nywele nikukatie
Nipo sema uzi unakimbia sana nimeshindwa kuendana na speed yakeKwenye picha tu ndio huwa nakuona
Ebu uza halafu ukuje kwangu tuzitumie vizuri [emoji847]
Haha acha uwongo, ujue sio vizuriMbona iko pm tayari wewe babake mtoto mzuri
Hahhaha nipo nakusubiriNaacha msingi nauza kiwanja mama[emoji23]
Njo upande nikubebeMgongo
[emoji8][emoji7]Baada ya kupigika na jua hili laleo lunavochoma dahView attachment 1256432
Embu toa miguu kwenye kiti bwana..Baada ya kupigika na jua hili laleo lunavochoma dahView attachment 1256432
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Haha acha uwongo, ujue sio vizuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema ukweli bana
Wee, mi bado kijana sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee baba kumbe we kijana
Hebu tupia picha kwanza we mrembo, mambo gani unatufanyia
Hahahahaha
Wewe ulikuwa wapi
Unajua mimi mzee kwahiyo najuaga na wenzangu wazee wenzanguWee, mi bado kijana sana