Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,467
- 203,086
Uliniambia nikuite doggieeee?Sisi tena? Anayekuja kukuharibia siku yako ni Chelsea. Utaniambia niko hapa nawasubiri
Uliniambia nikuite doggieeee?Sisi tena? Anayekuja kukuharibia siku yako ni Chelsea. Utaniambia niko hapa nawasubiri
So gorgeous dada 😍😍Sato day is for weddingView attachment 2336567
Aibu zangu ulizionea wapii???😂 na Depal alivyo na aibu utaskia National Anthem zima taa! 😂🙌
Poa sana, niaje?Chali angu u hali gani?
Yaani ni tiba tosha na ya uhakika😂😬😬😬😬😬😬😬 aaah! hivi vinatibu vizuri eeh kwa kuviona tu
Kucheza 10 ndio inakuaje.Chelsea tumeshinda dah, ingawa tumecheza 10
Baridi chalianguPoa sana, niaje?
Sina muda wa kukufundisha mpira..Kucheza 10 ndio inakuaje.
Hongereni sanaa kwa kushinda.
Kwahiyo mnachukua kombe au bado final
Umenikumbusha machungu, kuna mwanaume nimemkopesha hela yangu saivi hapokei simu wala sms hajibu
😁😁 atakuwa hajapata, akipata atapokeaUmenikumbusha machungu, kuna mwanaume nimemkopesha hela yangu saivi hapokei simu wala sms hajibu
Mwenyew sina shida ya kujua mambo ya kiumeSina muda wa kukufundisha mpira..
Uwanjani wachezaji wanakuwaga 11, sasa mmoja alilambwa red card ikamtoa nje ya uwanja.. tukabaki 10
Haaa si apokee simu sasa😁😁 atakuwa hajapata, akipata atapokea
Hongereni mmejitahidi. Naona Sterling ameokoa jahaziChelsea tumeshinda dah, ingawa tumecheza 10
Hapana ulini quote vibaya itakuwa🤔🤔Uliniambia nikuite doggieeee?
NkamuSato day is for weddingView attachment 2336567






