Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Mtu anakuwa shabiki wa Chelshit...si kutafuta mawazo tu😂,, baadaye watakondeana wamfikie kocha wao Tuchhel 😂😂Angalia usizidi kukondeana kwa mawazo kama Depal na chelshit yake!
Mtu anakuwa shabiki wa Chelshit...si kutafuta mawazo tu😂,, baadaye watakondeana wamfikie kocha wao Tuchhel 😂😂Angalia usizidi kukondeana kwa mawazo kama Depal na chelshit yake!
Una hadi vifaa vya kuchanganyia..ushindwe wewe tu hapo.
Ukimaliza tunaomba final product
Wewe endelea kujifungia ndani,halafu useme Anne anaringa😂😂😂Kipara ngoto
Ndio atakoma
Leo tunatembea vifua mbereeeeKwa sotojo la pweza
Alilopiga kaka yako
Mbona hizo ni kidogo sana
Halafu acha sifa
😂😂😂😂 Saint AnneNini hiking?
😂😂😂😂 🙌Una hadi vifaa vya kuchanganyia..ushindwe wewe tu hapo.
SitakiUkimaliza tunaomba final product
Yeye anajua tu end product yake😂😂😂
Sawasawa jiraniAsante jirani, nitavifata au umpe boda aniletee usiku huu ili kesho nichemshe ninywee chai asubuhi
🤣🤣Mnyamaze kama mlivyo nyamaza previous match
Tunasubiri tu kuiona😍😂😂😂😂 🙌
Usipoleta tutajua umetoa bomuSitaki
Naomba penCheck nilivyoqnza kuwa Dark...
Mdogo wangu hilo koti hujalipenda?Naomba pen
Nimeogopa kuomba😂😂😂😂Mdogo wangu hilo koti hujalipenda?
Maana liko sokoni🤣
Tena ndio sileti… waza uwazacho, sio shida zanguUsipoleta tutajua umetoa bomu
Nitakutumia vyote mama mchungajiNimeogopa kuomba😂😂😂😂
Tena nilitaka niseme naomba koti,ila nikaona utaninyima😂
Nikaangalia pembeni naona pen