Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,860
😂😂😂 kama ile ? Dukani haiko. Dukani utapata fake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani sajari ya kupata rangi flani ya mtume ni shingapi?
😂😂😂 kama ile ? Dukani haiko. Dukani utapata fake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani sajari ya kupata rangi flani ya mtume ni shingapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poaaaahNiko nanyonga bange hapa nataka nkiwashe
Haswaaaaaaaah.Ewaaaaa......!!
Man u tunaifanya weekend yako iwe poaNiko busy 😘😂 leo games kama zoteee
Ole wenu muharibu 😂😂😂😂Man u tunaifanya weekend yako iwe poa
Sisi tena? Anayekuja kukuharibia siku yako ni Chelsea. Utaniambia niko hapa nawasubiriOle wenu muharibu 😂😂😂😂
Uchawi waachie watu wasiojielewaSisi tena? Anayekuja kukuharibia siku yako ni Chelsea. Utaniambia niko hapa nawasubiri
🤣🤣🤣 poa poa. Ngoja tuenjoy mpira mzuriUchawi waachie watu wasiojielewa
Selfika basi🤣🤣🤣 poa poa. Ngoja tuenjoy mpira mzuri
Acha tu concentrate na game kwanzaSelfika basi
SitakiAcha tu concentrate na game kwanza
[emoji1787]Mimi siyo mrefu wewe...
Mimi ni "Tall" ila sina hakika kama ni "Dark" kuna ka lotion flani natumia keusiii kama mkaa nafanya jitihada nione kama December itafika nikiwa nimefanikiwa kuwa Dark ili mama mchungaji Heaven Sent anisajiri kwenye kile chama[emoji16]
Ila bahati mbaya sina uchebe, ndevu zangu hazina ushirikiano[emoji17]
Yaani sipati[emoji1787][emoji23][emoji119] Imagine Depal anatoka magetoni na tule tudimpoz twake [emoji23][emoji23] ananyata watu wasimwone [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji23] na Depal alivyo na aibu utaskia National Anthem zima taa! [emoji23][emoji119]
Toka Ila baadae mpo uwanjani mkateseke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]