Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Itakua hali si hali😂😂😂 kama ile ? Dukani haiko. Dukani utapata fake
🤣🤣🤣
Itakua hali si hali😂😂😂 kama ile ? Dukani haiko. Dukani utapata fake
Jirani hujambo..😋😋😋
Nipo riva, si upitie jaman
Wee mguu umepona, saiv maumivu yapo kidooogo kwa mbali sana
Sijambo jirani, uhali gani.Jirani hujambo..
Unapenda mambo ya kiume😂Niko busy 😘😂 leo games kama zoteee
Nilikuwa kijijini jirani..Sijambo jirani, uhali gani.
Ulipotea sana humu jirani
🤣🤣Unapenda mambo ya kiume😂
Umeniletea nini jirani toka kijijiniNilikuwa kijijini jirani..
Mihogo jirani...Umeniletea nini jirani toka kijijini
Nimeisha piga na Cocktail ya viagra, mtu anaenda piga zoezi la mguu 🤣🤣🤣Kuna tukio linaenda kufanyika usiku![]()
This is Liverpool[emo
BOMU limepigwa mochwari 😂😂😂
Asante jirani, nitavifata au umpe boda aniletee usiku huu ili kesho nichemshe ninywee chai asubuhiMihogo jirani...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya basi sawa 😁😁😁 nilifikiri bado unauma🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mguu nimepona
Asante kwa kujali ila nimepona baada ya kuona hivyo vitu apo🤣🤣Haya basi sawa 😁😁😁 nilifikiri bado unauma
😬😬😬😬😬😬😬 aaah! hivi vinatibu vizuri eeh kwa kuviona tuAsante kwa kujali ila nimepona baada ya kuona hivyo vitu apo🤣🤣
Unapenda mambo ya kiume😂
Hujambo jirani,
Nilikuwa kijijini siku 3