Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ™Œ Mbavu zangu na kweli huyu National Anthem siyo wa kumwamini anaeza jikwaa kusudi!
Kulana giza ni makosa kama makosa mengine πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ ambayo unaweza jikuta mikononi mwa vyombo vya sheria... piga mataa kama yale ya uwanja wa ben mkapaaa unaona hadi utumbo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nimeambiwa home nilishahesabiwa,

Sijawahi bahatika kukutana na karani wallah,nikikutana na karani lazima nimfotoe,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann sasa umfotoe?? Si wamekatazaaa???

Mama juzi ananiambia, yaan ningekuepo home yule karani angejuta mbna, anasema wanauliza maswali mengine ambayo hayana hata umuhimu, nkachekaaaa.

Afu karani mwenyewee n mdada, mama ananambia ungekua wee kichaaa ungemsuuza had baas, uwiiiiiiih.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…