Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,218
- 41,790
Itabidi nije Chuga.Nimekumiss
Itabidi nije Chuga.Nimekumiss
Mida yetu ile ya nekediiiiii BLHapa alishapita siku ya kwanza msukuma ! Hauna ka selfii kasogeze huu mchana mkuu???
Ewaaaaahhh hapo sawa.ohooo.. watu wa dar mna maneno [emoji3][emoji3][emoji3] haya tabia nzuri ya kubinya binya kama nyanya ipo naona hapo imevaliwa safi
Haha utakuwa umefanya jambo jema kabisaItabidi nije Chuga.
Usizingue sasa msukuma tangu mkesha wa mwaka mpya mpaka waleo hujatupia!!Mida yetu ile ya nekediiiiii BL
Jamani jamani jamani[emoji39][emoji39]It's about time[emoji39]
Mje mshanawa mikono kabisaView attachment 2335385
Pancho ana bahati ya mtende aisee. Si kwa ile "tabia" kwa kweli. Wanyaki mpo vizuri sana kwenye "tabia" [emoji16][emoji16][emoji870]Huyo hapo juu, babe.
Msamehe usitumie bastola.
Asante swthrt. Same to ya[emoji7]Muwe na mchana mwema wapendwa!![emoji3577][emoji3577]
Leo naapia. Nimekuandalia mbili!Usizingue sasa msukuma tangu mkesha wa mwaka mpya mpaka waleo hujatupia!!
Leo hakuna ka selfii ka tabia le madamee??🤔🤔Ewaaaaahhh hapo sawa.
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee!!! 💃💃😃!! Nazisubiriaa mida yetu ntakushtua ukisahau!Leo naapia. Nimekuandalia mbili!
Ile tabia mpaka leo naibung'alia yaani [emoji16]Leo hakuna ka selfii ka tabia le madamee??[emoji848][emoji848]
Habari za sahii[emoji113]!
Utakuwa mwenyeji wangu?Haha utakuwa umefanya jambo jema kabisa
Noma sanaaa... imejazia kweri kweri ✌️✌️!! Madam katuwakilisha vema 😉!Ile tabia mpaka leo naibung'alia yaani [emoji16]
😀😀😀 sipo eneo rafiki shangazi, picha haziruhusiwi nacheza kamali 🤣🤣Hio tayari umeshaipost sana Humu mjomba Tunaomba selfiii yako wewe kama wewe ;
Kweli kabisa wanyaki tuna tabia nzuri sana[emoji2956][emoji2956], na muguu ndio usiseme. Si ndio Its Pancho eh?Pancho ana bahati ya mtende aisee. Si kwa ile "tabia" kwa kweli. Wanyaki mpo vizuri sana kwenye "tabia" [emoji16][emoji16][emoji870]
Fanya ku tu bless tena 😁😁Ewaaaaahhh hapo sawa.
Za tabia zipo dear. Ngoja nijifotoe muone tabia njema.Leo hakuna ka selfii ka tabia le madamee??[emoji848][emoji848]
Habari za sahii[emoji113]!