Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,970
- 177,189
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Anajisemea mamdo mdomo komaaa🤭🤭Nimemuambia ajue ana deal na situation ipi, kwani vibaya kumuambia ukweli?
Kwani vibaya kumuambia ana flirt na gay na watu wakimuenjoy...? Kwani mtu akichagua maisha yake kuwa shoga ni tusi kumuita shoga?
Niambie basi wapi nimekosa busara...
Tuendelee kuselfika mazee mambo yake tumuachie mwenyewe!!


