Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Tutawekwa ndani 🤣🤣🤣🤣🤣Hujasikia tangazo la jana eeh!!!
Ni marufuku kuwapiga picha makarani bila idhini yao......
Imagine karani anatrend kwenye meme kwamba yupo kaya ya kwanza muda wote aisee.
Inaweza kumharibia kazi.