Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Ni nzuri kabisa boss wangu.
Habar yako…unaendeleaje!
Ni nzuri kabisa boss wangu.
Kama najionaaaHayo ya kisasa miaka mitatu tu yaanza kuzaa
Hahaa sawa karaniWikii ni karani 😁😁
Saint Anne hili si limekwisha?Labda kama mnaniletea mchumba hapo sawa😎
Liliisha kitambo sanaSaint Anne hili si limekwisha?
Watatukosa hapa; wengine kwa kupuyanga hatujamboMsijareee siku bado Watapita tu !
🙆♀️🙆♀🙆♀️🙆♀️🙆♀️ Unamuita cha ubishi tena jamanSaint Anne hili si limekwisha?
Ukraine mbaya japo nimetoka muda kidogo kabla Putin hajaanza yake kwa sasa niko Bangladesh nateseka tu hukuNzuri kabisa ndugu.
Habari za ukraine
Hujasikia tangazo la jana eeh!!!Duh
Watu jamani.
Mimi nilikaa na Karani...
Alikuwa na kigugumizi kwa hiyo nilienda naye mdogo mdogo zaidi ya saa nzima.
Ila chai sikumpa.View attachment 2334233
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mtahesabiwa mlikoraraa wakiwakosa waliopo watatoa taarifa zenu japo lazima nyingine wazikosee!!Watatukosa hapa; wengine kwa kupuyanga hatujambo
Tunafanana mashati😁😂😂😂
Halafu mnafanana .
Kasoro yeye ni mweusi.
Umeona kitu naked boss lady!Igwweeeeeeeehhh leo at least umeachia sura nkamu Vocha ✌️✌️✌️mama pasta Heaven Sent unapitwaaaaa hukuuu
Achana na Bangladeshi huko ndugu yangu..nenda Somalia japo ni karibu ukikwama tunakuja kukubeba mzegamzegaUkraine mbaya japo nimetoka muda kidogo kabla Putin hajaanza yake kwa sasa niko Bangladesh nateseka tu huku
Case closed. Zawadi yetu itakufikia🙆♀️🙆♀🙆♀️🙆♀️🙆♀️ Unamuita cha ubishi tena jaman