Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi parachichi limewakoseeni nini?
Yaani unakula mti unaisha...
Parachichi 2x3 kama vidonge..
Hakuna tunda tamu kama parachichi aisee.
Ule mti mtamu aisee
Bahati mbaya mwaka juzikati nilipokuwa chuo nilikuwa napishana nayo..
Nikirudi yanakuwa mateke..nikiondoka yanakomaa.

Nilivyorudi mazima nilianza kuyala hata 10 kwa siku.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
EAD1578E-66DF-4A92-BCBE-0F2FC97D0359.jpeg
 
Back
Top Bottom