Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Kwa kweli mnataka mvae ki-swaggaZile zipo kama za mapambo
Juzi kati nimetoka kuisagula pale posta
Kwa kweli mnataka mvae ki-swaggaZile zipo kama za mapambo
Juzi kati nimetoka kuisagula pale posta
Unakimbilia wapi sasa?Mama mchungaji na log off🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Nimemaliza nazo mwaka Kwa 24k tu!Kwa kweli mnataka mvae ki-swagga
😂😂😂😂Saint Anne naomba umtumie mama mchungaji ile picha tulipiga pamoja pale Iyunga tukiimba Tumogele ili na mimi wanirudishe kwenye grupu la Dark Tall litakosa watu hili grupu atabaki Wigelekelo peke yake😃
🧐🧐🧐Case closed. Zawadi yetu itakufikia
Watu wabaya 😂Bwana ameisikia haja ya moyo wako.
Nkamu umechachuka siku hizi jamani![]()
Hivi wew ni dark tall eeeSaint Anne naomba umtumie mama mchungaji ile picha tulipiga pamoja pale Iyunga tukiimba Tumogele ili na mimi wanirudishe kwenye grupu la Dark Tall litakosa watu hili grupu atabaki Wigelekelo peke yake😃
Kumbe basi komaa nayo hiyohiyoNimemaliza nazo mwaka Kwa 24k tu!
Wakati zamani nilikuwa naunguza maelfu ya pesa na miwani zinapasuka.
Hizo hazipasuki..ikichoka inakatika mkanda pembeni.
Suuuuu😂😂😂😂
Aseme suu
Mungu ambariki aliyenionyesha hili chimbo.Kumbe basi komaa nayo hiyohiyo
Mm niko poa snNi nzuri kabisa boss wangu.
Habar yako…unaendeleaje!
Romeo must die 📽📽📽.. na mtaalamu wangu Jet Lee
Umekataa kunipa namba yako ndio ukaona uje kusema vibaya huku?
Nikufate hapo eeh .. ushakula winga eeh
Kaona sura ya baba ikabidi akatishe zoezi






Ah, stop talking 'bout the past, I'm the future, nigga