MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,444
- 69,265
Miguu mibaya kichizi......
Yaani ni mibaya.....
Miguu mibaya kichizi......
hater ile mbayaaa yani 🤣🤣🤣🤣Miguu mibaya kichizi......
Yaani ni mibaya.....
Hujakoea.Uko sahihi kabisaMiguu mibaya kichizi......
Yaani ni mibaya.....
Next time na yeye akubariki Tigo mkuu...Mm nishamwambia ktambo atume namba yake ya tigo nmtumia ka tgo pesa bt mtoto wa shangaz hatak hajui kama niko congo huku msitun hakuna maduduka.
😁😁😁😁hater ile mbayaaa yani 🤣🤣🤣🤣
Next time na yeye akubariki Tigo mkuu...
Sister una kigimbi kama Mayele, we huchezi mpira kweli..
umesema wewe mie sijasema hata kama afisa penetration au lah

Ninasakata kabumbu si mchezo ndugu yangu.Sister una kigimbi kama Mayele, we huchezi mpira kweli..
🤔🤔🤫
Nimeona...Ninasakata kabumbu si mchezo ndugu yangu.
😀😀😀😀 Chakorii yupo single mkuu. Sema ana ana deka sana, utamuweza kweli ?Jasusi wangu National Anthem kuna pisi inaitwa Chakorii niletee info kama yupo single, yule wa jana jamaa ake ana bastola..
😀😀😀😃😃😃 sijawai kuwa na line yao jamaa, sijawai tumia simcard tofauti na Voda sijui wameniroga hawa🤔🤔🤫
Tigo vocha mkuu...
Tigo ina wenyewe, sio ya kila mtu😅😀😀😀😃😃😃 sijawai kuwa na line yao jamaa, sijawai tumia simcard tofauti na Voda sijui wameniroga hawa
Mtandao wa ma junior huo 🤣🤣🤣 wanao ingiwa kwa ulimwengu wa simu janjaTigo ina wenyewe, sio ya kila mtu😅
Nimeona hilo guu si mchezo, na hizo lips profile pic zimenimaliza...😀😀😀😀 Chakorii yupo single mkuu. Sema ana ana deka sana, utamuweza kweli ?
Hakuna kampuni wana kasi ya mtandao kama Voda, huduma zao za Internet sio tigo, halotel, airtel n.k wanafikia...😀😀😀😃😃😃 sijawai kuwa na line yao jamaa, sijawai tumia simcard tofauti na Voda sijui wameniroga hawa