National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,199
😀😀😀 msalimie sana mtaniKwa sasa tupo hapa hivi kidogo chini juu
😀😀😀 msalimie sana mtaniKwa sasa tupo hapa hivi kidogo chini juu
Hahahahaaa zimefika😀😀😀 msalimie sana mtani
Chuga sio mchezoKwani jirani yuko wapii myoyambendi
Yan hadi wewe 😂😂 ndio maana mnapanda migomba hadi barabaraniChuga sio mchezo
Mazoezi na mosimo? Toa usharobaro wako hapa 🤣
Nilitaka niseme hivyohivyo.Mazoezi na mosimo? Toa usharobaro wako hapa 🤣
🤣🤣🤣🤣Mazoezi na mosimo? Toa usharobaro wako hapa 🤣
Jirani...acha hizoo...Yan hadi wewe 😂😂 ndio maana mnapanda migomba hadi barabarani
Kwendraaa huko na kitambi chako 😆🤣🤣🤣🤣
Mazoezi ya kisasa
SiachiJirani...acha hizoo...
mazoezi na kiatu hicho 🫣🫣🫣 njoo nikupigishe tizi hadi mguu upone
Kitambi changu kimekukosea nini lakini 🤣🤣🤣🤣Kwendraaa huko na kitambi chako 😆
Sina raba mkuu, nisaidie basi.mazoezi na kiatu hicho 🫣🫣🫣 njoo nikupigishe tizi hadi mguu upone
Debora naona umenichoka 🤣🤣🤣🤣
nkupitie twende tukachukue 😀😀Sina raba mkuu, nisaidie basi.
Tizi gani hilo? Mguu bado unauma kwa mbali nahitaji dawa
Ndiwoooonkupitie twende tukachukue 😀😀