Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

PENZI KITOVU CHA UZEMBE

KISA CHA NGONSWE NA MAZOEA KWENYE SENSA

MITOMINGI
: nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo.

MAMA MAZOEA: Basi fanya haraka (Mazoea anatoka, anaenda kwa Ngoswe alipo).

MAZOEA: Hodi! Hodi!

NGOSWE: Karibu.

MAZOEA: (Akiingia). Ahsante. Nimekuja kuchukua vyombo.

NGOSWE: Vyombo! Kaa basi mbona unasimama kama vile hakuna viti.

MAZOEA: Nimeambiwa nifanye haraka.

NGOSWE: Mmm! Haya ngoja ninawe basi (Ngoswe ananawa kwa taratibu jicho likiwa usoni mwa Mazoea ambaye anatazama kando). Hivo mzima wee?

MAZOEA: Bee!?

NGOSWE: Salama?

MAZOEA: Salama tu.

NGOSWE: Sasa ndio umekataa kukaa?

MAZOEA: (Ajidai hakusikia) Si umekwisha maliza?

NGOSWE: Bado kidogo.

MAZOEA: Basi nitakuja chukua baadaye. (Ataka kutoka)

NGOSWE
: Basi nenda navyo. (Mazoea anarudi kuinama kuvichukua. Ngoswe kwa sauti ndogo). Hivyo waitwa nani?

MAZOEA: Mie?

NGOSWE: Ndio wewe hapo kisura.

MAZOEA: (anatabasamu huku akiondoka). Mazoea!

Story ni tamu ila tulishaambiwa ya Ngoswe tumuachie Ngoswe!

JIANDAE KUHESABIWA
Zama zimebadilika bosi Ngoswe wa sasa hivi wanajipatia wachuchu kwa kuwalaghai ati watawapa vishikwambi , huku vijijini ni tafrani kila karani anatembea nacho sasa sisi tusio makarani sasa hivi mademu wanatuona nyoya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
G morning
Satoh Hirosh
Antonnia
Screenshot_2022_0822_083026~2.jpg
 
PENZI KITOVU CHA UZEMBE

KISA CHA NGONSWE NA MAZOEA KWENYE SENSA

MITOMINGI
: nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo.

MAMA MAZOEA: Basi fanya haraka (Mazoea anatoka, anaenda kwa Ngoswe alipo).

MAZOEA: Hodi! Hodi!

NGOSWE: Karibu.

MAZOEA: (Akiingia). Ahsante. Nimekuja kuchukua vyombo.

NGOSWE: Vyombo! Kaa basi mbona unasimama kama vile hakuna viti.

MAZOEA: Nimeambiwa nifanye haraka.

NGOSWE: Mmm! Haya ngoja ninawe basi (Ngoswe ananawa kwa taratibu jicho likiwa usoni mwa Mazoea ambaye anatazama kando). Hivo mzima wee?

MAZOEA: Bee!?

NGOSWE: Salama?

MAZOEA: Salama tu.

NGOSWE: Sasa ndio umekataa kukaa?

MAZOEA: (Ajidai hakusikia) Si umekwisha maliza?

NGOSWE: Bado kidogo.

MAZOEA: Basi nitakuja chukua baadaye. (Ataka kutoka)

NGOSWE
: Basi nenda navyo. (Mazoea anarudi kuinama kuvichukua. Ngoswe kwa sauti ndogo). Hivyo waitwa nani?

MAZOEA: Mie?

NGOSWE: Ndio wewe hapo kisura.

MAZOEA: (anatabasamu huku akiondoka). Mazoea!

Story ni tamu ila tulishaambiwa ya Ngoswe tumuachie Ngoswe!

JIANDAE KUHESABIWA
SawA wale walimu wa Kiswahili secondary kidato Cha 3 na cha 4 Beesmom mim ni Biology peke nyeke
 
Back
Top Bottom