Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,973
- 177,190
Hustler one One niliona una type mara umeacha jamaniii!! Nasubiria katibu
Asante msukuma nisiwasumbue sana kesho nitakomaa kupata vocha wapendwa wangu nashukuru Sana na mbarikiwe sanaa !



ccy mtumie namba pm akutumie vochaUsipitwe tena!!Hustler one One niliona una type mara umeacha jamaniii!! Nasubiria katibu
Weee mbona uko vizure tu Katibu iko poa sana!!Kama kijana kumbe kibabu, Ina miaka miwili isee sipendi picha
Sijapitwa katibu bado Kijana fureeesssshhh kabisa weye huna hata huo uzee!!Usipitwe tena!!
Usipitwe tenaHustler one One niliona una type mara umeacha jamaniii!! Nasubiria katibu
Nishazeeka picha tu!! InakudanganyaSijapitwa katibu bado Kijana fureeesssshhh kabisa weye huna hata huo uzee!!
Haya SawA ccyMwabheja sana sis kipenzii naona Nisiwasumbue kiivo sis tu mb twa kumalizia Usiku huu tupo tupo dear!
Mbarikiwe mnoooo!
Weeee uzee mwisho chalinze Katibu kijana Fureshh kabisa weye!!Usipitwe tena
Nishazeeka picha tu!! Inakudanganya
Aah wapi, shikamoo zimeanza kuwa. Nyingi na navyopenda sasa!!, mie nipo jiji la makala huku tunasota na jua, BT huwa naenda one time kikazi!!Weeee uzee mwisho chalinze Katibu kijana Fureshh kabisa weye!!
Bado Uko vizure katibu✌️✌️ Halafu huwa nakufananisha na mtu mmoja yupo Arusha katibu!!
Weeeehh shikamoo zinazeesha katibu shauri yako!! Aahaa kumbe!! Basii sauwaaaa itakua nimekufananisha mmefanana sana ni mtoto wa bamdogo!!Aah wapi, shikamoo zimeanza kuwa. Nyingi na navyopenda sasa!!, mie nipo jiji la makala huku tunasota na jua, BT huwa naenda one time kikazi!!
Ok poa duniani wawili wawili, nikutakie usiku mwema mwenyekiti ,hakika kikao kimefana , mlale unono!!Aahaa kumbe!! Basii sauwaaaa itakua nimekufananisha mmefanana sana ni mtoto wa bamdogo!!
Wabheja sana Katibu .. Nawe piaOk poa duniani wawili wawili, nikutakie usiku mwema mwenyekiti ,hakika kikao kimefana , mlale unono!!
Same to youMlale unono wapendwa!!!![]()
Hua saa 12 tunaanza kulalaMapema sana hata kunguru hawajaanza hata kukoloma.
Nitaselfika dada usijaliLikewise dear niko njema sana!!
Nimekumiss sijaona lips matata siku nyingi!